![]() |
Lionel Messi aliumia tena mguu umsumbuao mara kwa mara katika mechi kati ya Barcelona na Atletico Madrid,Mechi iliyomalizika kwa sare ya 1-1. |
ilipoteza poi nt mbili mapema,mara baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Villareal.Baadae Barcelona na Atletico Madrid ,zote zikapoteza nafasi ya kupunguza point wanazozidiwa na Real Madrid mara baada ya kufungana bao 1-1 katika mechi kali ya kusisimua,mechi iliyoshuhudia Barcelona wakimpoteza Mchezaji wao mahiri,Lionel Messi kwa mda wa usio chini ya wiki tatu.
Kama vile haitoshi,Kiungo mahiri wa Barcelona,Sergio Busquets alilazimika kutoka uwanjani na nafasi yake kuchukuliwa na Andre Gomes,mara baada ya kuumia.Kutoka kwa wachezaji hao wawili muhimu,lilikuwa pigo kwa Barcelona kwani Atletico hawakukawia kurudisha goli dakika chache tu baada ya magwiji hao kufanyiwa Madadiliko ya Lazima.
Mechi ilikuwa tamu.kama kawaida,Barca walimiliki mpira na kupanga mashambulizi vizuri .Atletico
walionekana hatari pale walipohwapokonya mpira na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Barca walidhani wamepata penati mnamo kipindi cha kwanza baada ya mchezaji wa
ConversionConversion EmoticonEmoticon