LA LIGA

 

 

PSG WALIMTAKA NEYMAR KWA EURO 190 MILLION

PSG walitaka kumpa Neymar mkataba ambao ungemwezesha kuvuna
€767,000 (£650,000) kwa wiki,kwa mjibu wa Ribeiro,lakini Barcelona waliikataa ofa hiyo na badala yake wakamshawishi Neymar kusaini mkataba mpya wa miaka 5. SOMA ZAIDI

BARCELONA KUMKOSA MESSI KWA MDA WA WIKI 3+ 

 

Kama vile haitoshi,Kiungo mahiri wa Barcelona,Sergio Busquets alilazimika kutoka uwanjani na nafasi yake kuchukuliwa na Andre Gomes,mara baada ya kuumia.Kutoka kwa wachezaji hao wawili muhimu,lilikuwa pigo kwa Barcelona kwani Atletico hawakukawia kurudisha goli dakika chache tu baada ya magwiji hao kufanyiwa Madadiliko ya Lazima.SOMA ZAIDI

1 comments:

Write comments